Karibu Uwaraji SACCOS

Piga Hatua Kuileta Ndoto Yako Kwenye Uhalisia.

Tunawezesha wanachama wetu kuweka akiba, kupata mikopo yenye masharti nafuu, na kukua kiuchumi kwa urahisi zaidi na uhakika.

+1k
1,000+ Wanachama Hai
Huduma Zetu

Zana zote unazohitaji kufikia malengo yako ya kifedha.

Akaunti ya Kibubu

Weka akiba kidogo kidogo na ufuatilie kwa urahisi kupitia mfumo wetu wa makundi malum. Uhakika wa ukuaji wa mtaji wako.

Mikopo Nafuu

Pata mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya biashara, elimu, au maendeleo binafsi, na urejeshe taratibu bila msongo.

Maktaba Mtandao

Jipatie vitabu vya elimu na ujasiriamali ili kukuza uelewa na kuendesha miradi yako kifaulu. Usomee popote ulipo.